Misaada ya Kujifunza
Urimu na Thumimu


Urimu na Thumimu

Vifaa vilivyotayarishwa na Mungu ili kumsaidia mtu katika kupata ufunuo na katika kutafsiri lugha. Katika lugha ya Kiebrania maneno haya yanamaanisha venye kutoa “nuru na ukamilifu.” Urimu na Thumimu zinajumuisha mawe mawili yaliyowekwa katika pinde za fedha na wakati mwingine zilitumika pamoja na dera ya kifuani (M&M 17:1; JS—H 1:35, 42, 52). Dunia hii itakuwa Urimu na Thumimu kuu katika hali yake ya utakaso na isiyo kufa (M&M 130:6–9).