Misaada ya Kujifunza
Hebroni


Hebroni

Mji wa Kale wa Yuda, maili ishirini (kilomita thelathini na mbili) kusini mwa Yerusalemu. Palikuwa mahali pa kuzikia pa Ibrahimu na familia yake (Mwa. 49:29–32). Ulikuwa mji mkuu wa Daudi katika sehemu ya kwanza ya utawala wake (2 Sam. 5:3–5).