Misaada ya Kujifunza
Anania wa Yerusalemu


Anania wa Yerusalemu

Katika Agano Jipya, yeye na mkewe, Safira, walimdanganya Bwana kwa kuzuia sehemu ya fedha ambayo waliiweka wakfu kwa Bwana. Wakati Petro alipowauliza, wote wawili walianguka chini na wakafa (Mdo. 5:1–11).