Misaada ya Kujifunza
Ishmaili, Mwana wa Ibrahimu


Ishmaili, Mwana wa Ibrahimu

Katika Agano la Kale, ni mwana wa Ibrahimu na Hajiri, Mmisri aliyekuwa mjakazi wa Sara (Mwa. 16:11–16). Bwana aliwaahidi wote Ibrahimu na Hajiri kwamba Ishmaili angelikuwa baba wa taifa kubwa (Mwa. 21:8–21).

Chapisha