Misaada ya Kujifunza
Usingizi


Usingizi

Hali ya pumziko ambapo mtu anakuwa hajishughulishi na hana fahamu. Bwana amewashauri Watakatifu Wake wasilale muda mrefu kuliko inavyohitajika (M&M 88:124). Usingizi waweza pia kuwa ishara ya mauti ya kiroho (1 Kor. 11:30; 2 Ne. 1:13) au kuwa mauti ya kimwili (Morm. 9:13).