Misaada ya Kujifunza
Udhaifu


Udhaifu

Hali ya kuwa katika mwili wenye kufa na kupungukiwa na uwezo, nguvu, au ujuzi. Udhaifu ni hali. Watu wote ni wadhaifu, na ni kwa neema ya Mungu tu kwamba hupokea uwezo wa kufanya matendo ya haki (Yak. [KM] 4:6–7). Udhaifu huu huonekana kwa upande mmoja katika mapungufu ya mtu au kasoro ambazo kila mtu anazo.