Misaada ya Kujifunza
Whitmer, John


Whitmer, John

Kiongozi wa awali kabisa katika Kanisa la Urejesho na ni mmoja wa Mashahidi Wanane wa Kitabu cha Mormoni. Ona “Ushuhuda wa Mashahidi Wanane” katika kurasa za utangulizi za Kitabu cha Mormoni. Pia aliitwa kuhubiri injili (M&M 30:9–11).