Misaada ya Kujifunza
Smith, Emma Hale


Smith, Emma Hale

Mke wa Joseph Smith Nabii. Bwana alimwamuru Emma kufanya uteuzi wa nyimbo. Pia alitumikia kama rais wa kwanza wa Jumuiya ya usaidizi wa Akina Mama.