Misaada ya Kujifunza
Herodia


Herodia

Dada wa Herode Agripa katika Agano Jipya. Aliolewa na baba mdogo wake, Herode Filipo, kwake yeye alimzaa mtoto wa kike, Salome. Yeye na Salome walipanga njama ili Yohana Mbatizaji akatwe kichwa (Mt. 14:3–11).