Msaada wa Masomo
Kanisa la Yesu Kristo
iliyopita inayofuata

Kanisa la Yesu Kristo

Kundi lililoasisiwa la waamio ambao wamejichukulia juu yao wenyewe jina la Yesu Kristo kwa ubatizo na uthibitisho. Ikiwa litakuwa la kweli sharti liwe Kanisa la Bwana; sharti liwe na mamlaka Yake, mafundisho yake, sheria zake, ibada zake, na jina lake; na sharti litawaliwa na Yeye kupitia kwa wawakilishi ambao Yeye amewateua.