Msaada wa Masomo
Ondoleo la Dhambi


Ondoleo la Dhambi

Msamaha wa makosa unaotokana na masharti ya toba. Ondoleo la dhambi linawezeshwa na Upatanisho wa Yesu Kristo. Mtu hupata msamaha wa dhambi zake kama anayo imani katika Kristo, anatubu dhambi zake, anapokea ibada ya ubatizo na kuwekewa mikono kwa ajili ya kipawa cha Roho Mtakatifu, na anatii amri za Mungu, (M ya I 1:3–4).