Msaada wa Masomo
Yerusalemu Mpya
iliyopita inayofuata

Yerusalemu Mpya

Mahali ambapo Watakatifu watakusanyika na Kristo atatawala yeye mwenyewe pamoja nao wakati wa Milenia. Sayuni (Yerusalemu Mpya) itajengwa katika ya bara la Marekani, na dunia itafanywa upya na kupokea utukufu wake wa kipepo (M ya I 1:10). Pia inamaanisha mji mtakatifu utakaoshuka kutoka mbinguni mwanzoni mwa Milenia.