Msaada wa Masomo
Milenia


Milenia

Kipindi cha amani cha miaka elfu moja ambacho kitaanza wakati Kristo atakaporudi kuitawala dunia yeye mwenyewe (M ya I 1:10).