Misaada ya Kujifunza
Maisha kabla ya kuzaliwa


Maisha kabla ya kuzaliwa

Maisha kabla ya maisha ya duniani. Wanaume na wanawake wote waliishi na Mungu kama watoto Wake wa kiroho kabla ya kuja duniani kuwa viumbe wenye mwili wenye kufa. Hii wakati mwingine huitwa hali ya kwanza (Ibr. 3:26).