Misaada ya Kujifunza
Mtoza Ushuru


Mtoza Ushuru

Katika Rumi ya kale, ni mtoza ushuru kwa ajili ya serikali. Watoza ushuru kwa ujumla walichukiwa na Wayahudi. Baadhi ya watoza ushuru walikuwa tayari kuikubali injili (Mt. 9:9–10; Lk. 19:2–8).