Misaada ya Kujifunza
Utukufu wa Selestia


Utukufu wa Selestia

Daraja la juu kabisa kati ya madaraja matatu ya utukufu ambalo mtu aweza kupata baada ya maisha haya. Hapa watu wenye haki wataishi katika uwepo wa Mungu Baba na Mwanawe Yesu Kristo.