Misaada ya Kujifunza
Mawazo


Mawazo

Dhana, fikra, na taswira katika akili ya mtu. Uwezo wa kufikiri ni kipawa kutoka kwa Mungu, nasi tuko huru kuchagua namna tunavyotumia uwezo wetu wa kufikiri. Namna tunavyofikiri kwa kiwango kikubwa huathiri mitazamo na tabia, na vile vile nafasi yetu baada ya maisha haya. Mawazo yenye uadilifu hutuongoza kwenye wokovu; mawazo mabaya hutuongoza kwenye laana.