Misaada ya Kujifunza
Gogu


Gogu

Mfalme wa Magogu. Ezekieli alitoa unabii kwamba Gogu angeivamia Israeli katika wakati wa Ujio wa Pili wa Bwana (Eze. 38–39). Vita nyingine, iitwayo vita vya Gogu na Magogu, vitatokea mwishoni mwa Milenia (Ufu. 20:7–9; M&M 88:111–116).