Msaada wa Masomo
Pumzika
iliyopita inayofuata

Pumzika

Kufurahia amani na uhuru kwa kuondokana na usumbufu na ghasia. Bwana ameahidi hivyo kwa wafuasi wake walio waaminifu katika maisha haya. Pia ameandaa mahali pa pumziko kwa ajili yao katika maisha yajayo.