Misaada ya Kujifunza
Andrea


Andrea

Katika Agano Jipya, ni kaka wa Simoni Petro na ni mmoja wa Mitume Kumi na Wawili aliyeitwa na Yesu Kristo wakati wa huduma Yake hapa duniani (Mt. 4:18–19; Mk. 1:16–18, 29).