Misaada ya Kujifunza
Shamba


Shamba

Katika maandiko, ni eneo la wazi la ardhi litumikalo kwa kulima au uchungaji. Mara nyingi linaashiria ulimwengu na watu wake.