Misaada ya Kujifunza
Haki, Uadilifu, enye Uadilifu


Haki, Uadilifu, enye Uadilifu

Kuwa mwenye haki, mtakatifu, wema, wima, unyofu, uaminifu; kutenda katika utii kwa amri za Mungu; kuepuka dhambi.

Matokeo yasiyotindika ya baraka kwa ajili ya mawazo na matendo ya uadilifu, na adhabu kwa dhambi zisizofanyiwa toba. Haki ni sheria ya milele ambayo huhitaji adhabu kila mara sheria ya Mungu inapovunjwa (Alma 42:13–24). Mtenda dhambi ni lazima alipe adhabu kama hatubu (Mos. 2:38–39; M&M 19:17). Kama anatubu, Mwokozi humlipia ile adhabu kupitia upatanisho kwa kuomba rehema (Alma 34:16).