Msaada wa Masomo
Ndoto
iliyopita inayofuata

Ndoto

Njia mojawapo ambayo Mungu hufunua mapenzi Yake kwa wanaume na wanawake duniani. Siyo ndoto zote ni mafunuo, hata hivyo. Ndoto za maongozi ya Mungu ni matunda ya imani.