Misaada ya Kujifunza
Maria Magdalena


Maria Magdalena

Mwanamke katika Agano Jipya ambaye alijitoa kwa moyo kuwa mwanafunzi wa Yesu Kristo. Magdalena linatokana na Magdala ni mahali ambapo huyu Maria alitoka. Iko upande wa magharibi wa pwani ya Bahari ya Galilaya.