Misaada ya Kujifunza
Hyde, Orson


Hyde, Orson

Mshiriki wa Akidi ya kwanza ya Mitume Kumi na Wawili walioitwa katika kipindi hiki (M&M 68:1–3; 75:13; 102:3; 124:128–129). Alitumikia misheni nyingi kwa ajili ya Kanisa pamoja na kuiweka wakfu Nchi Takatifu katika mwaka 1841 kwa ajili ya kurudi kwa watu wa Kiyahudi.