Misaada ya Kujifunza
Baraka, Bariki, Barikiwa


Baraka, Bariki, Barikiwa

Kutunuku upendeleo wa kiungu juu ya mtu fulani. Kitu chochote kichangiacho kwenye furaha ya kweli, hali njema, au ustawi hiyo ni baraka.

Baraka zote zimewekwa juu ya sheria ya milele (M&M 130:20–21). Kwa sababu Mungu anataka watoto Wake wapate furaha katika maisha (2 Ne. 2:25), huwapatia baraka kama matokeo ya utiifu wao katika amri Zake (M&M 82:10), katika kujibu sala au agizo la ukuhani (M&M 19:38; 107:65–67), au kwa njia ya neema Zake (2 Ne. 25:23).

Orodha inayofahamika vyema na taarifa juu ya hali ya kuwa na heri ni Mahubiri ya Heri (Mt. 5:1–12; 3 Ne. 12:1–12).

Kwa ujumla

Baraka za watoto