Misaada ya Kujifunza
Bethlehemu


Bethlehemu

Mji mdogo ulioko maili tano (kilometa nane) kusini mwa Yerusalemu. Katika Kiebrania, Bethlehemu maana yake “nyumba ya mkate”; pia unaitwa Efrathi, maana yake “wenye kuzaa matunda.” Yesu Kristo alizaliwa katika Bethlehemu (Mika 5:2; Mt. 2:1–8). Ni mahali alipozikwa Raheli (Mwa. 35:19; 48:7).