Misaada ya Kujifunza
Mwandishi


Mwandishi

Agano la Kale na Jipya hutumia neno hili katika njia tofauti kidogo: (1) Katika Agano la Kale, mwandishi wajibu wake wa kimsingi ulikuwa ni kunakili maandiko (Yer. 8:8). (2) Waandishi mara kwa mara wametajwa katika Agano Jipya na wakati mwingine wameitwa wanasheria au madaktari wa sheria. Waliiendeleza sheria katika marefu na kuitumia katika hali za nyakati zao (Mt. 13:52; Mk. 2:16–17; 11:17–18; Lk. 11:44–53; 20:46–47).