Msaada wa Masomo
Siri za Mungu
iliyopita inayofuata

Siri za Mungu

Siri za Mungu ni kweli za kiroho zijulikanazo kwa ufunuo tu. Mungu huwafunulia siri Zake wale ambao ni watiifu katika injili. Baadhi ya siri za Mungu zitaendelea kufunuliwa.