Misaada ya Kujifunza
Yaredi, Kaka wa


Yaredi, Kaka wa

Nabii wa Kitabu cha Mormoni. Yeye na kaka yake waliasisi taifa la Kiyaredi walipokiongoza kikundi cha watu kutoka katika Mnara wa Babeli hadi katika nchi ya ahadi katika bara la Marekani (Eth. 1–6). Alikuwa mtu mwenye imani kubwa ambaye alinena na Bwana uso kwa uso. (M&M 17:1). Hadithi yake imeandikwa katika kitabu cha Etheri.