Misaada ya Kujifunza
Akida


Akida

Ofisa katika jeshi la Kirumi ambaye aliongoza kikundi cha watu hamsini hadi mia moja. Kikundi cha aina hii kilifanya sehemu moja ya sita ya kikosi cha jeshi la Kirumi. (Ona Mt. 8:5; Lk. 23:47; Mdo. 10:1–8.)