Msaada wa Masomo
Ukuhani wa uongo
iliyopita inayofuata

Ukuhani wa uongo

Watu wanaohubiri na kujiweka juu ili kuwa nuru kwa ulimwengu ili waweze kupata faida na sifa za walimwengu; hawatafuti ustawi wa Sayuni (2 Ne. 26:29).