Misaada ya Kujifunza
Bendera ya Uhuru


Bendera ya Uhuru

Bendera iliyoinuliwa na Moroni, amiri jeshi mkuu wa majeshi ya Wanefi katika Kitabu cha Mormoni. Moroni aliitengeneza ile bendera ili kuwashawishi watu wa Nefi kulinda dini yao, uhuru, amani na familia zao.