Misaada ya Kujifunza
Lamani


Lamani

Katika Kitabu cha Mormoni, ni mwana mkubwa wa Lehi na Saria na kaka mkubwa wa Nefi (1 Ne. 2:5). Kwa kawaida Lamani alichagua kufanya uovu badala ya mema.