Misaada ya Kujifunza
Lamoni


Lamoni

Katika Kitabu cha Mormoni, ni mfalme wa Kilamani aliyeongolewa na Roho wa Bwana na kazi takatifu na mafundisho ya Amoni (Alma 17–19).