Misaada ya Kujifunza
Bikira


Bikira

Mwanamume au mwanamke wa umri wa kuweza kuolewa ambaye kamwe hajapata kujamiiana. Katika maandiko, bikira anaweza kumwakilisha mtu ambaye ni msafi kimaadili (Ufu. 14:4).