Msaada wa Masomo
Utukufu
iliyopita inayofuata

Utukufu

Katika maandiko, ni utukufu mara kwa mara umetajwa kuwa ni nuru na ukweli wa Mungu. Pia waweza kutajwa kuwa ni sifa au heshima na hali fulani ya uzima wa milele au ya utukufu wa Mungu.