Msaada wa Masomo
Mpakwa mafuta
iliyopita inayofuata

Mpakwa mafuta

Yesu anaitwa Kristo (neno la Kiyunani) au Masiya (neno la Kiaramaya). Maneno yote mawili yanamaanisha “mpakwa mafuta.” Yeye ni mpakwa mafuta wa Baba ili kuwa mwakilishi binafsi wa Baba katika mambo yote yahusuyo wokovu wa wanadamu.