Misaada ya Kujifunza
Esaya


Esaya

Muundo wa jina la Isaya katika Agano Jipya (Kiyunani) (Lk. 4:17). Esaya alikuwa nabii aliyeishi katika siku za Ibrahimu (M&M 76:100; 84:13).