Misaada ya Kujifunza
Matendo ya Mitume


Matendo ya Mitume

Kitabu hiki ni cha pili kati ya sehemu mbili za kazi zilizoandikwa na Luka kwa Theofili. Sehemu ya kwanza hujulikana kama Injili kulingana na Luka. Mlango wa 1–12 imeandikwa baadhi ya kazi muhimu za kimisionari za Mitume Kumi na Wawili chini ya maelekezo ya Petro mara baada ya kifo na ufufuko wa Mwokozi. Mlango wa 13–28 inaelezea baadhi ya safari na kazi za kimisionari za Mtume Paulo.