Misaada ya Kujifunza
Nebukadneza


Nebukadneza

Katika Agano la Kale, ni mfalme wa Babilonia (604–561 K.K.) aliyeishinda Yuda (2 Fal. 24:1–4) na akaizingira Yerusalemu (2 Fal. 24:10–11). Nabii Lehi aliamriwa kuikimbia Yerusalemu katika karibu mwaka 600 K.K. ili kuepuka kuchukuliwa mateka katika Babilonia (1 Ne. 1:4–13) wakati Nebukadneza alipomteka Mfalme Zedekia na watu (2 Fal. 25:1, 8–16, 20–22). Danieli alitafsiri ndoto ya Nebukadneza (Dan. 2; 4).