Misaada ya Kujifunza
Ukwasi


Ukwasi

Mali au kuwa na vitu. Bwana huwashauri Watakatifu wasitafute utajiri wa kiulimwengu isipokuwa kwa kufanya yaliyo mema. Watakatifu lazima wasijiwekwe katika kutafuta utajiri wa kiulimwengu kabla ya kutafuta ufalme wa Mungu, ambao ndiyo hushikila utajiri wa milele (Yak. [KM] 2:18–19).

Utajiri wa Milele