Misaada ya Kujifunza
Sheria ya Kuweka wakfu, Weka wakfu


Sheria ya Kuweka wakfu, Weka wakfu

Kuweka kitu kwa kusudi takatifu, kuifanya iwe takatifu, au kuwa ya haki. Sheria ya kuweka wakfu ni kanuni ya kiungu ambayo kwayo wanaume na wanawake kwa hiari hutoa wakati wao, vipaji, na utajiri wa mali yao kwa ajili ya kustawisha na kuujenga ufalme wa Mungu.