Misaada ya Kujifunza
Pazia


Pazia

Neno litumikalo katika maandiko ili kumaanisha (1) kigawanyaji kinachotenga maeneo ya hema takatifu au hekalu, (2) ishara ya utengano kati ya Mungu na mwanadamu, (3) nguo nyembamba inayovaliwa na watu ili kufunika uso au kichwa, au (4) usahaulifu utolewao na Mungu ambao huziba kumbukumbu za watu juu ya maisha kabla ya kuzaliwa duniani.