Misaada ya Kujifunza
Urais wa Kwanza


Urais wa Kwanza

Rais wa Kanisa na Washauri wake. Wao ndiyo akidi ya makuhani wakuu watatu na husimamia Kanisa zima. Urais wa Kwanza hushikilia funguo zote za ukuhani.