Misaada ya Kujifunza
Ndimi, Kipawa cha


Ndimi, Kipawa cha

Kipawa cha Roho Mtakatifu ambacho huwaruhusu watu walio na mwongozo wa kiuungu kunena katika, au kuelewa, au kutafsiri lugha ngeni. Tunaamini katika kipawa cha ndimi (M ya I 1:7).