Smith, Lucy Mack Ona pia Smith, Joseph, Mdogo; Smith, Joseph, Mkubwa Mama wa Joseph Smith Nabii na mke wa Joseph Smith Mkubwa (JS—H 1:4, 7, 20). Alizaliwa Julai 8, 1776 na alikufa Mei 5, 1856. Joseph alimwona mama yake katika ono la ufalme wa selestia, M&M 137:5.