Misaada ya Kujifunza
Shibloni


Shibloni

Katika Kitabu cha Mormoni, ni mwana wa Alma Mdogo. Shibloni alifundisha injili kwa Wazorami na akateswa kwa ajili ya uadilifu wake. Bwana akamwokoa kutoka katika mateso yake kwa sababu ya uaminifu wake na uvumilivu (Alma 38). Shibloni pia alitunza kumbukumbu ya Wanefi kwa wakati fulani (Alma 63:1–2, 11–13).