Misaada ya Kujifunza
Mahubiri ya hali ya Heri


Mahubiri ya hali ya Heri

Mfululizo wa mafundisho ambayo Yesu aliyatoa katika Mahubiri ya Mlimani ambayo yanaelezea tabia ya kiroho iliyotakaswa (Mt. 5:3–12; Lk. 6:20–23). Sifa za Heri zimepangwa katika namna ambayo kila maelezo yamejengwa juu ya yale yaliyoitangulia. Kumbukumbu iliyokamilifu na sahihi juu ya Sifa za Heri inapatikana katika 3 Nefi 12.