Misaada ya Kujifunza
Nehori


Nehori

Mtu mwovu katika Kitabu cha Mormoni. Nehori alikuwa mmoja wa watu wa kwanza kufanya ukuhani wa uongo miongoni mwa Wanefi. Baada ya kufundisha mafundisho ya uongo na kumwua Gidioni, Nehori aliuawa kwa ajili ya makosa yake ya jinai (Alma 1). Wafuasi wa Nehori waliendeleza matendo maovu na mafundisho yake kwa muda mrefu baada ya kufa kwa Nehori.